House for sale on Whitesands road.
USD 550000
Nyumba inauzwa ipo mtwara mjini nyumba ina vyumba vitatu viwili vyake selfu ina uwanja wa sqm1580 kiwanja kina hati miliki nipazuri sana kwa makazi au unaweza kubadili matumizi ukaongeza ikawa hotel ya utalii bei sio ya kushangaza ni milioni miatatu tu 300mil
Use our free mortgage calculator to estimate your monthly mortgage payments.