*SHULE INAUZWA BAGAMOYO*
Iko Bagamoyo Km 14 kutoka *Bagamoyo* kwenda *Mlandizi*
Ina eneo la Ekari 30 Madarasa 7
Jengo Utawala Mabweni ya kutosha wanafunzi 200
Stoo
Jiko
Nyumba 3 za Wafanyakazi
Maji ya Dawasco na ya Kisima kirefu. Umeme 3 Phase. Viwanja vya Mpira wa Miguu 2. Netball 1, Volleyball 1
Miti ya matunda. Eneo lina Hati miliki.
Bei 1.5bill tsh
Panafaa kwa Chuo cha Afya na Hospitali, Kilimo, Sports Academy, Chuo cha Ufundi, etc
Bandari kavu na kumbi za mikutano.
Karibu sana Mteja.